Ivi hapa ni wapi jameni

sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
5,272
7,870
8735373f28a248138e257c616d73aed5.jpg
 
huo ni mtaa wa victor wanyama kaka, hupo ubungo viwandani.
Kwani huyo victor wanyama ni nani hapa tz, na kwanini huo mtaa wauite hivyo au ni mtu maarufu kwa kuchoma au kukaanga nyama au mishikaki ndio maana ukaitwa mtaa wa victor wa nyama nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom