I've just completed form 6 and looking for a job

Dec 14, 2018
66
79
Good morning ladies and gentleman, after a long journey of studying,I've finally compleyed my ACSEE and now am kindly looking for any job available

My contacts
Mobile : 0676941519
Location : DAR ES SALAAM
 
All the best young man and welcome to the hood.

Stay focused, stay in the know and trust in God.

Your whole life awaits you, don't ruin it by being friends with the wrong people or giving in to substance abuse.

Honour your parents and remain obedient to them.

All the best.
 
All the best young man and welcome to the hood.

Stay focused, stay in the know and trust in God.

Your whole life awaits you, don't ruin it by being friends with the wrong people or giving in to substance abuse.

Honour your parents and remain obedient to them.

All the best.
Thanks for your kind words
 
Looking for a job , with which descriptions? From my little knowledge completing your ACSEE does not carry enough weight to be considered as a merit for 'job' ( that is hard truth ) BUT, you can use it as a stepping stone to get exposure and attain skills which can not be achieved in-class, what you can do is volunteer at any office which deals with activities you aspire to do in later days. Do not target to be paid , target to acquire skills and networking for future exploitations.
 
Dogo pambana na kwenda chuo kwanza, achana na maswala ya kuwaza ajira. Kwa elimu uliokua nayo ya form 6 mshahara wa juu ukiwa na bahati sana hauzidi 80,000 (Kumbuka kuna watu wana degree ila ajira hakuna sasa hivi wapo mtaani wanaendesha boda boda).

Buy your time studying for now, by the time unamaliza chuo pengine ajira zitakua zimefunguka nazo. Hizi kazi utazikuta na utakufa utaziacha.
 
Dogo pambana na kwenda chuo kwanza, achana na maswala ya kuwaza ajira. Kwa elimu uliokua nayo ya form 6 mshahara wa juu ukiwa na bahati sana hauzidi 80,000 (Kumbuka kuna watu wana degree ila ajira hakuna sasa hivi).

Buy your time studying for now, by the time unamaliza chuo pengine ajira zitakua zimefunguka abnazo. Hizi kazi utazikuta na utakufa utaziacha.
Thinking za hovyo sana

Chuo mwezi wa ngapi akifanyabka kazi sasahivi kuna shida gani
 
Nenda jkt ww hata kama haujapangiwa ukienda kambi yyt wanakupokea ila usiende ruvu maan pale wakijaa uwa wanawatoa wanawapeleka kwngne nenda kaongeze vyeti na maarifa
Kama kitu fulani muhimu ulivyokitukuza 'nenda hata kama ujapangiwa'
 
Karibu sana. Natumia wasaa huu pia kwa ajili ya walio na hali kama yako.

1.Tumia muda mwingi kuendelea kujifunza hasa kama una kipaji eneo fulani kama muziki, mchezo, au fani nyingineyo.

2.Ajira ni chache lakini fursa ni nyingi hasa kwenye ujasiriamali. Angalia eneo lenye uhitaji zaidi uingie hapo jikite zaidi kwenye namna ya kuuza (sales).
Kwa mfano unaweza kununua vitu kwa jumla ukauza kwa mtu mmoja mmoja.

3. Kutoa huduma. Huduma kama usafiri, ufundi, ushonaji,maji, usafi, uoshaji wa magari. Mnaweza kujiunga na wengine mkafanya.

4. Kilimo na ufugaji: hapa sio lazma ulime shamba au ufuge kuku. Unaweza kuongezea thamani mazao ya kilimo ukauza mf pilipili, korosho, ndizi, etc.

5. Mafunzo ya muda mfupi: tembelea sido pamoja na veta au taasisi nyinginezo pata mafunzo. Haya yanaweza kuwa akiba baadae ukaja kuyatumia. Mf screen printing, ufinyanzi, usindikaji, uokaji, sanaa za mikono. Etc.

6. Huduma ya taaluma. Kusanya madogo wa karibu na home. Piga pindi. Kusanya jero jero zako. Tena wakati wa likizo huo hapo. Ongea na wazazi wao. ( hii ni nzuri na niliwahi kuifanya)
7. Wadau watajazia, atakuja mtu atakwambia kaanga mihogo, pika sambusa, tengeneza kashata. Kata mshipa wa aibu fanya. Hakuna mtu atakupa hata mia jamaa yangu .
 
Wewe utakua huna marinda, zwazwa usiejua maisha yanenda mbele au nyuma, mwezi huu hata hujui course za Diploma & Certificate dirisha limefunguliwa kwaajili ya application.

Usijifanye mjuaji sana hata kwa usio yajua. Usioyajua sio lazima ucomment, mengine pita kimya kimya mdudu weeh.
Wewe jamaa takataka fulani unaudhi sana.

Kwani Form 6 ana apply Diploma na Certificate ??

Sawa hapa tunazungumzia ku-apply au ku-report chuo kufanya mahombi ya chuo ndio kunamzuia mtu kufanya kazi RUBBISH SPERM.
 
Back
Top Bottom