iv mtu kupata kazi ndo inakua ivi?

theoka

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
374
100
kuna jamaa yangu fulan kahusle muda fulan then kapata kazi sehemu,kabla ya hapo tulikua tunawasiliana nakutiana moyo,siku moja nilimuomba msaada kidogo akawa hana,sasa tangia hapo ata nikimcall cm hapokei,ndugu zangu tusiwe tunasahau tulipotoka jaman
 
Usimuhukumu bure huenda hana hela na vile vile labda anafikiria kazi zaidi ya marafiki muache uone mwisho wake utakuaje.
 
nani kasahau alipo toka?. acha kua na lawama zisizo na msingi. mtu anapata kazi na hizi familia za kitanzania unategemea mshahara atabakiwa na nini? kama kweli unampenda utamvumilia.
 
Usimuhukumu bure huenda hana hela na vile vile labda anafikiria kazi zaidi ya marafiki muache uone mwisho wake utakuaje.

huwa namacall cyo kutaka msaada4hi na kuuliza ishu fulan kuhusu ofc yao,sijui udhan ninashida
 
Wee nae ulifanya vibaya kumuomba hela kwenye mshahara wake wa kwanza tu Buana sio feya!!

mkuu wala cyo ivo,kwan mtu akitaka msaada mpaka upate kama huna ckawaida jaman.mwanaume inatakiwa ajiamin jaman
 
Msidemand kusaidiwa matokeo yake tunakuwa walalamishi wa kupindukia.
 
hata mimi sikupi..yani mshahara wa kwanza tu mshaanza kuomba

nadhan kunarugha gongana ivi huna msaada kwa mtu poa ndo hata undugu ufe mwenye tatzo lisha isha ndg yangu apokei utadhan namdai siutumwa huo
 
kuna jamaa yangu fulan kahusle muda fulan then kapata kazi sehemu,kabla ya hapo tulikua tunawasiliana nakutiana moyo,siku moja nilimuomba msaada kidogo akawa hana,sasa tangia hapo ata nikimcall cm hapokei,ndugu zangu tusiwe tunasahau tulipotoka jaman

Hapo ulikosea ndugu, muache awekeze akiwa safi ss muombe msaada hapo akikunyima basi ana matatizo. Labda familia inamtegemea.
 
Jamani si kasema mara ya kwanza ndio alimuomba hela na siku hizi anampigia kuuliza vitu flani kuhusu office yao tu..

Huyo jamaa kaaribu kutopokea calls au reply sms.

Ila mkuu, na wewe usijioneshe kama una njaa saaana. Kam ipo ipo tu. Kama vipi mpotezee, akishazoea huo mshahara atakukumbuka.tu. Labda awe na roho kama ya Bollo Yanki.
 
Tenda wema nenda zako usingoje shukrani,MUNGU ataklipa kwa namna pekee yenye tofauti na jinsi ulivyomsaidia.Nalog off!
 
Watanzania tunalalamika kwelii.
We nae tafuta kazi
Je siku ukipiga simu na akipokea utamwambia kuwa uliwahi msema kwa watu kuwa anajiona baada ya kupata kazi?
 
Back
Top Bottom