Iv katika hii kitu inawezekana katika hali ya kawaida?

minagirl

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
269
35
Kunamtu ni rafikiyangu facebook, nakumbuka yy ndo alinitumia friend request, nilimuad coz alikuwa na urafiki na watu ambao nnawafaham,

kaanzisha mazoea na anaomba namba yangu ya simu, kabla ya kufanya hivy nikaona nipitie profile yake kwanza ili nijiridhishe,kilichonishangaza ni kwamba rafiki zake wote ni wadada tena wa mkoa huu ambao ndo na mm naishi, yeye ni mwanaume sasa nimeshindwa kuelewa, iv inawezekana mtu akawa na marafiki wote wanawake ilhal yy ni mwanaume? Na wote wawe ni wa mkoa mmoja? Nimeshangaa sana. Nimewaza kwanini iwe hivyo au hiyo account kaifungua kwaajili ya kaz maalum?

Nisaidieni mawazo wandugu
 
Duuh eti ndoo ili linampa tabuu mpakaa akahamuua kuliletaa umu jf apatee msaadaa agaa so na wanajamii wa fb wanakupa preshaaa mmmh udhaifuu huu
 
me naamini no matter how the ishu is... As long mtu kaleta shida apa basi imemshinda kote alikotoka! And thats why jf is here...!
We dada usiumize kichwa mpenzi..as long as huna utakacholoose wala kugain ukimpotezea,me nadhani umpotezee ili udeal na mambo mengine katika maisha yako na marafiki zako wengine ambayo nadhan kuna mengine ya muhimu zaidi ya hayo.
Me masuala hayo ambayo hayana deal yoyote kwangu nayapotezea tuu!
 
kweli mwaya
 
hahahahaha Jawilat. Hivi kumbe kunasehemu maalum za kupatia wanawake?
 
Last edited by a moderator:
hahaha watu mna vituko!! Eti facebook mnadani!!

Hahahah me sidhani kama nitawahi kuvutiwa na facebook..hmm enewei may be!
Mie watsap,jf na kuchungulia blogs zenye akili timamu! ndo SN zangu makorokocho mengine mie mshamba kwakweli!
Ila uyo mkaka! Ukute jini makata!kapangiwa kuwachezea wadada wa mkoa flani! Awape Ukimwi! Lol
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom