Kunamtu ni rafikiyangu facebook, nakumbuka yy ndo alinitumia friend request, nilimuad coz alikuwa na urafiki na watu ambao nnawafaham,
kaanzisha mazoea na anaomba namba yangu ya simu, kabla ya kufanya hivy nikaona nipitie profile yake kwanza ili nijiridhishe,kilichonishangaza ni kwamba rafiki zake wote ni wadada tena wa mkoa huu ambao ndo na mm naishi, yeye ni mwanaume sasa nimeshindwa kuelewa, iv inawezekana mtu akawa na marafiki wote wanawake ilhal yy ni mwanaume? Na wote wawe ni wa mkoa mmoja? Nimeshangaa sana. Nimewaza kwanini iwe hivyo au hiyo account kaifungua kwaajili ya kaz maalum?
Nisaidieni mawazo wandugu