Iv katika hii kitu inawezekana katika hali ya kawaida?

hahaha watu mna vituko!! Eti facebook mnadani!!

Hahahah me sidhani kama nitawahi kuvutiwa na facebook..hmm enewei may be!
Mie watsap,jf na kuchungulia blogs zenye akili timamu! ndo SN zangu makorokocho mengine mie mshamba kwakweli!
Ila uyo mkaka! Ukute jini makata!kapangiwa kuwachezea wadada wa mkoa flani! Awape Ukimwi! Lol

kama vile ulikuwa mawazoni mwangu, na the way anavyolazimisha kuomba namba za cm na kuonana hadi naogopa. Ila tayari nimesha mblock. Nashukuru kwa mawazo yenu
 
Back
Top Bottom