Iv hii kitu inawezekana?

minagirl

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
269
35
Mwanamke divosed na anamtoto mmoja, mwanaume ndo kwanza hajuwai hata kuonja maisha ya ndoa wala hana hata mtoto wa kusingiziwa, iv inawezekana kweli watu hawa wakaoana na kujenga familia yenye furaha?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom