Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majibu karibu yote utayapata baada ya tume kufanya uchunguzi, vuta subira. Lakini kumbuka kuwa matukio yote yamefanyiwa uchunguzi lakini watanzania wanatabia ya kusahau haraka sana, hata hili tukio litasahaulika pamoja na kwamba uchunguzi utaisha na maelezo yote yatakuwepo.
Mkuu kauli zake huyu mwandishi ndio zinafahamika, huyu ni mwanachama mtiifu wa CDM na hilo linafahamika. Kwa hiyo uandishi ilikuwa just cover tu.
Kuna watu wanailaumu sana CDM hapa. Jamani CDM ina kosa gani? Hao polisi wanatumwa na CDM kufanya haya wanayoyafanya? Mimi si mwana CDM lakini naona nchi inaelekea kwenye vita kali. Hatupo tayari kusikia na kukubali ukweli wa damu hizi zinazomwaga hivi.
Watanzania tuugane kwa pamoja bila kujali chama na kuyakataa mauwaji haya. Hii nchi sii ya CCM wala CDM. Tanzania ni yetu wote. Kwamba tunauwawa kinyama hivi sii sawa.
Hili jeshi letu linaonyesha kuwa na upungufu mkubwa kuanzia kwenye rushwa, kuonea wananchi na kuwabandikia makesi, kuwanyanyasa watu, na kuwaua raia wasio na hatia.
Kama tuna serikali ya kweli ijitokeze na kusahihisha mambo. Isipofanya hivyo CDM ina haki ya kuendelea kuwahamasisha watanzania kupigania haki zao. Uhai ni haki ya kila mmoja wetu aliopewa na Mungu. Polisi hampi mtu uhai, hivyo hana haki ya kutoa uhai.
Tuungane tupiganie uhai wetu. Mungu mrehemu na kumlaza pema ndugu yetu Daudi Mwangosi na marehemu wote, apumzike kwa amani Amina
Majibu karibu yote utayapata baada ya tume kufanya uchunguzi, vuta subira. Lakini kumbuka kuwa matukio yote yamefanyiwa uchunguzi lakini watanzania wanatabia ya kusahau haraka sana, hata hili tukio litasahaulika pamoja na kwamba uchunguzi utaisha na maelezo yote yatakuwepo.
Hata hivyo waandishi wa habari wametangaza kusususia shughui zote za polisi kuanzia ile NENDA KWA USALAMA.
Nchi inaelekea pabaya.
unapoteza muda wako kumuelimisha mpumbavuMkuu ukaidi upi tena watu wamekwambia haukuwa mkutano wa nje na hata hivyo yule hakuwa muandamanaji ni mwandishi na anajulikana?
Kwa kauli yako huwezi kueleweka, haya ni mambo ambayo yako wazi acha wananchi wenyewe wahukumu.Tatizo sio polisi, tatizo hiki chama kisichotii sheria za nchi. kifo ni just matokeo ya huu ukaidi.
Hata wale wa TBCCM na Habarileoccm?Hawa waandishi inatakiwa wawe na msimamo wao wenyewe. Wasiwe kama kina Ulimboka.
Hongera sana ITV nashauri 2015 baada ya Chadema kuchukua nchi kituo hiki kiwe ndiyo Television ya taifa and then kuifungia milele Tbc na wote wlioajiliwa Tbc wasiruhusiwe kuajiriwa sehemu yeyote Tanzania