mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,076
- 4,113
Mkuu kukosea kawaida..alafu Damiani Lubuva sio Jaji MKUU mstaafu.
Na wewe kwenye title unamaanisha nini ukisema 'Yume'?
Wacha kulaumu bila sababu,kukosea kila mtu anakosea.
mbona wewe umeandika YUME badala ya Tume,kama wao wamekosea kwenye kuzungumza,wewe umekosea kwenye kuandika,nyie wote ni kitu kimoja
kile kipind kilirekodiwa hvyo kinarushwa kama kilivyorushwa mwanzo. Pia hzo ni typing error tu kama wewe ulivyoandika YUME badala ya TUME.
hahahahahaaaaaa!!!!
Mwenywewe kilaza kama vila wengine tu!!
Wewe mwenyewe umeshindwa kuliandika neno TUME!UMEANDIKA YUME!!
kukosea kitu cha kawaida. Mbona wewe mwenyewe umekosea heading?.
Ukitufafanulia kwanza hiyo YUME YA UCHAGUZI ndio kitu gani then nitarudi kuchangia.
Ukiishi kwenye nyumba ya vioo usianzishe vita vya mawe
Liondoe kwanza boriti lililo katika jicho lako kabla ya kuona boriti lililo ktk jicho la mwenzio,
anyway hana umuhimu wowote huyo kitaifa,
Tume=Yume? Umelianzisha mwenyewe limalize mwenyewe!! Mimi simo.
nahisi umetumwa akikosewa jina lake ana umuhimu gani kwako na kwa watanzania r u normal?? sorry whr r u first may be we ar talking with our colleague frm mirembe by the way we luv u all
Naomba wachangiaji wote mlio mkandia mwenye mada wapi kaandika yume,msiwe wanafiki.
Ni kweli tuna makengeza, ndio maana hatukuweza kugunduwa kuwa Damian Lubuva Hajawahi kuwa jaji mkuu kama wewe unavyojaribu kuudanganya umma, bali ni Jaji mstaafu tu. nenda ka edit tena na kipengere hicho.Tangu nimeweka hii hoja jana saa hizi ndo naingia jamvini na kukuta lundo la lawama. Imenilazimu kusoma kichwa cha habari cha hoja yangu kama mara tatu hivi sijaona hilo neno YUME lilipo. WanajF au kuna mtu amehariri kwa lengo la kurekebisha na kunisaidia kuepusha mashambulizi au ni kwamba hao waliochangia wanamakengeza?.
Na wewe kwenye title unamaanisha nini ukisema 'Yume'?
Wacha kulaumu bila sababu,kukosea kila mtu anakosea.
mbona wewe umeandika YUME badala ya Tume,kama wao wamekosea kwenye kuzungumza,wewe umekosea kwenye kuandika,nyie wote ni kitu kimoja
kile kipind kilirekodiwa hvyo kinarushwa kama kilivyorushwa mwanzo. Pia hzo ni typing error tu kama wewe ulivyoandika YUME badala ya TUME.
hahahahahaaaaaa!!!!
Mwenywewe kilaza kama vila wengine tu!!
Wewe mwenyewe umeshindwa kuliandika neno TUME!UMEANDIKA YUME!!
kukosea kitu cha kawaida. Mbona wewe mwenyewe umekosea heading?.
Ukitufafanulia kwanza hiyo YUME YA UCHAGUZI ndio kitu gani then nitarudi kuchangia.
Ukiishi kwenye nyumba ya vioo usianzishe vita vya mawe
Liondoe kwanza boriti lililo katika jicho lako kabla ya kuona boriti lililo ktk jicho la mwenzio,
anyway hana umuhimu wowote huyo kitaifa,
Tume=Yume? Umelianzisha mwenyewe limalize mwenyewe!! Mimi simo.
Ni kweli tuna makengeza, ndio maana hatukuweza kugunduwa kuwa Damian Lubuva Hajawahi kuwa jaji mkuu kama wewe unavyojaribu kuudanganya umma, bali ni Jaji mstaafu tu. nenda ka edit tena na kipengere hicho.
nahisi umetumwa akikosewa jina lake ana umuhimu gani kwako na kwa watanzania r u normal?? sorry whr r u first may be we ar talking with our colleague frm mirembe by the way we luv u all
kwani yeye ana umuhimu gani kwa nchi hii? si wa kuteuliwa huyo?
amehariri!
kwani yeye ana umuhimu gani kwa nchi hii? si wa kuteuliwa huyo?
Unajidhalilisha na kujicholesha hapa jukwaani bure, wewe kama ujaedit washukuru mods kwa kufanya jukumu hilo, na sio kweli kama ukiedit kitu ni lazima yale maandishi ya Last edited lazima yatokee, sio kweli hata kidogo. Original post yako uliandika YUME YA UCHAGUZI na sio TUME YA UCHAGUZI, na ndio sababu leo ukageuka kituko na burudani tosha kabisa kwa kumkosoa mwenzako kwa tatizo la spelling halafu na wewe ukarudia kosa lile lile!!Mzee/Kijana JF ni jukwaa makini sana kila unapohariripost yako huwa inaweka kumbukumbu hebu onyesha kwenye post yangu wapi kuna kumbkukumbu za kuhariri au tumwombe Admin atoe suluhisho. Tatizo siku hizi JF imeingiliwa na vidudu mutu (nimeandika mutu makusudikale usije ukasema nimekosea) vingi kiasi kwamba inachefua hata kuweka hoja kwani badala ya kujadili hoja vyenyewe hurukia kwenye matusi. Shame on you
Maandishi kibaaao Pumba tupu!!!
Unajidhalilisha na kujicholesha hapa jukwaani bure, wewe kama ujaedit washukuru mods kwa kufanya jukumu hilo, na sio kweli kama ukiedit kitu ni lazima yale maandishi ya Last edited lazima yatokee, sio kweli hata kidogo. Original post yako uliandika YUME YA UCHAGUZI na sio TUME YA UCHAGUZI, na ndio sababu leo ukageuka kituko na burudani tosha kabisa kwa kumkosoa mwenzako kwa tatizo la spelling halafu na wewe ukarudia kosa lile lile!!
Ni kweli tuna makengeza, ndio maana hatukuweza kugunduwa kuwa Damian Lubuva Hajawahi kuwa jaji mkuu kama wewe unavyojaribu kuudanganya umma, bali ni Jaji mstaafu tu. nenda ka edit tena na kipengere hicho.
Haya yote hayataondowa ukweli kwamba, hakuna YUME YA UCHAGUZI na wala Damian Lubuva hajawahi kuwa Jaji Mkuu.Ungekuwa na akili angalau kidogo usingekalia umbea hapa, ungeshaenda kununua kuku wa mbegu kwa kuwa uhakika wa pumba umepata. Nina shaka na jinsia yako
Waswahili wana msemo husemao nyani halioni kundule, wewe ulijifanya Mahiri wa Lugha wakati unajuwa kabisa hili sio jukwaa la Lugha, sasa inakuwaje tena wewe huyo huyo uandike YUME YA UCHAGUZI? NA je ni lini Damian Lubuva aliwahi kuwa Jaji mkuu wa Tanzania?Vihiyo wa lugha za mama zao lkn umbea mwiiiingi. KIPENGELE, period!
Waswahili wana msemo husemao nyani halioni kundule, wewe ulijifanya Mahiri wa Lugha wakati unajuwa kabisa hili sio jukwaa la Lugha, sasa inakuwaje tena wewe huyo huyo uandike YUME YA UCHAGUZI? NA je ni lini Damian Lubuva aliwahi kuwa Jaji mkuu wa Tanzania?
Haya yote hayataondowa ukweli kwamba, hakuna YUME YA UCHAGUZI na wala Damian Lubuva hajawahi kuwa Jaji Mkuu.
1. Usemao na sio HUSEMAO (red)Waswahili wana msemo husemao nyani halioni kundule, wewe ulijifanya Mahiri wa Lugha wakati unajuwa kabisa hili sio jukwaa la Lugha, sasa inakuwaje tena wewe huyo huyo uandike YUME YA UCHAGUZI? NA je ni lini Damian Lubuva aliwahi kuwa Jaji mkuu wa Tanzania?
Biiize kwa umbea! Mpaka unatoka mapovu hata umepoteza mwelekeo hujui unamjibu nani. Mimi siye nilieanzisha mada hii tuliza akili ndugu yangu. Suala la YUME YA UCHAGUZI nalo haliondoi ukweli kuwa ITV walichemka. Na hata yale niliyoyasema mimi ukayaita pumba tupu nayo hayaondolewi na Kiswahili chako kibovu.
Waulize walimu wa shule za awali watakuthibitishia juu ya hili: Lugha ni kipimo cha kwanza cha kujua uwezo wa ubongo wa mtoto na kwa asili ya binadamu, uwezo wa kujifunza lugha ni mkubwa ktk umri mdogo zaidi ya umri mkubwa. Hapa namaanisha kuwa akili yako inaweza kupimwa kwa namna yako ya matumizi ya lugha. Sasa kama ulizaliwa Tanzania na kukulia hapa na bado hujui kiswahili kiasi cha kusema KIPENGERE, KUJICHOLESHA n.k huoni kwamba uwezo wako wa kufanya mambo kwa usahihi ni mdogo?!!
Na hilo pia linadhihirika kwa jinsi unavyokurupuka, hata hujui hapa unamjibu nani. Angalia hii kwa makini nataka nikuoneshe muendelezo wa ujinga wako:
1. Usemao na sio HUSEMAO (red)
2. Mimi sijifanyi mahiri, NI MAHIRI
3. Mimi simjui Lubuva in particular, kwa hiyo hata kama aliwahi kuwa askofu bado sijui (nikukumbushe aliyeyaandika haya ni muanzisha mada, SIO MIMI)
4. Usikimbie challenges kwenye maisha. Lugha haiongelewi kwenye jukwaa tu, hata hapa tunahitaji lugha ili tuweze kuwasiliana. Nguo yako ikikupasukia safarini hutanunua nyingine na kubadili kwa kuwa hiyo safari yako haikuwa ya kwenda kununua nguo?
Halafu nikusaidie mawazo ndugu yangu JF Premium Member, upo uwezekano aliyebadili YUME kuwa TUME ni MODS na muanzisha mada akawa kweli hajui alikosea. Mimi sioni sehemu ilipoandikwa last edited by muanzisha mada. Yawezekana ukawa unabisha mishipa ya koo imekusimama na mapovu yanakutoka lkn huyu jamaa akawa hajui unalilia nini. Jaribu kuwa mwenye tafakari kabla hujakurupuka na mineno. (Sina hakika kama ukishaweka thread unaweza ku-edit tittle)
Karibu katika ulimwengu wa Kiswahili, lugha tamu kwa wenye kuijua.
Ni mwenyekiti sio Mwenyeketi...lol, unakandia kandia tu kumbe na wewe kilazaInashangaza chombo cha habari kikubwa kama ITV kinalikosea kuliandika jina la Mwenyeketi wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mkuu Mstaafu Damiani Lubuva na kumwita Damian Luduva. Hili nimeliona katika kipindi cha matukio ya wiki ambacho kinaendelea hivi sasa. Kwa vile haya ni matukio ya wiki inamaana kipindi hiki kilirushwa siku za nyuma kati ya jumatatu haji jumamosi ya wiki hii, sina uhakika kama hawakugundua kosa hilo na hivyo kulifanyia masahihisho ama ni udhaifu wa utamkaji wa maneno alionao aliyeandika habari hiyo. Lakini Mhariri wa kipindi naye yuko wapi.