ITV wanaonyesha video ya Idd Amin dada katika kumbukumbu ya siku ya mashujaa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,767
141,630
Karibu ufuatilie hasa kwa wale ambao hamumjui nduli Idd Amin.

Hii makala imenikumbusha vita vya Kagera, kina January na Nape walikuwa shule ya vidudu zama hizo!
 
Mmefanikiwa kuandaa documentary ya kusisimua sana ya Vita vya Kagera dhidi ya Nduli Idd Amin Dadaa . Videos zinazoonyeshwa zinapanda mbegu za uzalendo na kuipenda Tanzania . Hakika Tanzania imepata kuwa na Mashujaa halisi.
Mungu ibariki Tanzania. #BringBackOurPatrioticTanzania.
 
Back
Top Bottom