Elections 2010 ITV wamtangaza REGIA MTEMA kushinda jimbo KILOMBERO, warekebisha baada ya muda...!

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
168
CHADEMA KUPITIA REGIA MTEMA WAMECHUKUA JIMBO LA KIROMBELO.
Kura 38,550

Hongera sana Mtoto G.S

SOURCE:-

IPP MEDIA, ITV
 
kura za upande mmoja maana yake nini mkuu? Toa data kamili ili tuone mkuu.
 
mhhhhhhhhhhhh mbona yy mwenyewe amesema wamechakachua na anajiandaa kwenda mahakamani.
 
Mfungieni huyu jamaaa. Regia kasema wanapeleka kesi mahakamani na wewe unaleta habari zipi hapa?
 
ITV has just confirmed that Mtema Regia Estelatus of Chadema has won Kilombero with 38, 550 votes against her closest CCM rival................The results have been officially announced by the Election supervisor...........
 
This is great and will make part of my day. I am still sad and mad because of the massive rigging perpetrated by NEC, Ikulu and Usalama wa Taifa.
 
Hata kama wewe unakuwa kama huelewi wakati wewe ni senior member mkuu, acha hizo mkuu hapa watu tumeletewa machaka kibao, mamluki kibao hata kama ni kweli but you should show the source, au hata za upande wa pili.

Ila ahsante kwa taarifa najua ulikuwa na furaha hukujali impact za upande wa info receivers.
 
Najua ndge ya uchumi ilo tusi umelitoa bila ridhaa yako pole
Kuna watu wanaudhi umu mimi bado kidogo nimpe tusi la mama
 
Jamani kuna mtu kapewa tusi kule na Ndege ya uchumi na haya matokeo ya uko'
Kuweni serious
 
Hata mie nakuheshimu Kamanda. Ndiyo maana nashangaa na hizi habari zako.

Utakuwa umesikia vibaya Mkuu maana ukweli ni kuwa GS ameshindwa na kakataa matokeo.

Kuna mtu kakudanganya au umesikia vibaya.
Sikonge mbona nilikuheshimu sana Kamanda.
 
ITV have confirmed these results..............and we have to abide by them.....I suspect JK had to intervene from the orders he had issued to steal this electoral result...........Kumdhulumu mwanamama mlemavu was simply too much to bear but CCM have no shy.............
 
Kati ya ushindi wote wa chadema huu ni mtamu zaidi. Im really proud of her and respect her for her tenacity and incredible resilience. You Go girl!
 
Hata kama wewe unakuwa kama huelewi wakati wewe ni senior member mkuu, acha hizo mkuu hapa watu tumeletewa machaka kibao, mamluki kibao hata kama ni kweli but you should show the source, au hata za upande wa pili.

Ila ahsante kwa taarifa najua ulikuwa na furaha hukujali impact za upande wa info receivers.

DICTATOR MKUU!

Source ni IPP Media
 
Hata mie nakuheshimu Kamanda. Ndiyo maana nashangaa na hizi habari zako.

Utakuwa umesikia vibaya Mkuu maana ukweli ni kuwa GS ameshindwa na kakataa matokeo.

Kuna mtu kakudanganya au umesikia vibaya.

Sikonge vipi mbona hatuamini kushinda tena wazee, inamaana tumesha kata tamaa kiasi hiki.

SOURCE ni IPP Media Mkuu.
 
Back
Top Bottom