Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
CHADEMA KUPITIA REGIA MTEMA WAMECHUKUA JIMBO LA KIROMBELO.
Kura 38,550
Hongera sana Mtoto G.S
SOURCE:-
IPP MEDIA, ITV
Kura 38,550
Hongera sana Mtoto G.S
SOURCE:-
IPP MEDIA, ITV
kura za upande mmoja maana yake nini mkuu? Toa data kamili ili tuone mkuu.
Mfungieni huyu jamaaa. Regia kasema wanapeleka kesi mahakamani na wewe unaleta habari zipi hapa?
ITV has just confirmed that Mtema Regia Estelatus of Chadema has won Kilombero with 38, 550 votes against her closest CCM rival................The results have been officially announced by the Election supervisor...........
Sikonge mbona nilikuheshimu sana Kamanda.
Hata kama wewe unakuwa kama huelewi wakati wewe ni senior member mkuu, acha hizo mkuu hapa watu tumeletewa machaka kibao, mamluki kibao hata kama ni kweli but you should show the source, au hata za upande wa pili.
Ila ahsante kwa taarifa najua ulikuwa na furaha hukujali impact za upande wa info receivers.
Hata mie nakuheshimu Kamanda. Ndiyo maana nashangaa na hizi habari zako.
Utakuwa umesikia vibaya Mkuu maana ukweli ni kuwa GS ameshindwa na kakataa matokeo.
Kuna mtu kakudanganya au umesikia vibaya.