Elections 2010 ITV wamtangaza REGIA MTEMA kushinda jimbo KILOMBERO, warekebisha baada ya muda...!

ni mbaya sn kuwaweka roho juu wapiganaji wenzako,wakati unajua kbsa kuwa Regia ni member wa hii forum, na hivyo hbr zake zina msisimko wa aina yake.
 
Inawezekana kauli ya Dr Slaa imewashtua na kuamua kutangaza matokeo ya ukweli. I am very sory for Mr Mpendazoe
 
ni mbaya sn kuwaweka roho juu wapiganaji wenzako,wakati unajua kbsa kuwa Regia ni member wa hii forum, na hivyo hbr zake zina msisimko wa aina yake.

Very Bad Mkuu PJ sielewi kwa kwa ni Bado Niponipo anaamua kufanya hivi maana hapa nilipo nipo mbele ya ITV na sijaona hiyo Breaking Nyuz
 
kuna watu humu wao wanajua majimbo ya chadema yaliisha jana
leo mtu akitangazwa kashinda matusi yanaanza
 
Mkuu,
Jana na juzi wametudanganya sana sana na sasa tukiona UNYASI, TUNAFIKRI NYOKA.

Wengine tuko Shamba huku Sikonge na mawasiliano ya TV hayafiki au hata umeme wa shida na Tv zenyewe hakuna.

MKUU, HESHIMA MBELE. Nimeona wengine wakisema hivyo. Samahani kwa kutokukuamini.
Sikonge vipi mbona hatuamini kushinda tena wazee, inamaana tumesha kata tamaa kiasi hiki.

SOURCE ni IPP Media Mkuu.
 
Hii imekaaje jana kulikuwa na taarifa kuwa matokeo yamechachuliwa kwa kuleta form za matokeo kupiku kura zaidi ya 1250 alizokuwa anaongoza.Naomba hii habari wacomfirm akina FDR jr walioko huko.
 
jamani ni kweli au ni usanii mtupu? mbona kuna taarifa nyingine tofauti kwamba kashindwa
 
kura za upande mmoja maana yake nini mkuu? Toa data kamili ili tuone mkuu.
:smile-big: we hujajua tu! Hapajamvini ni burudani tupu. ndio maana panatakiwa watu wanaofikiri kwa kina la si hivyo mtu aweza pelekwa pelekwa na wapelekeshaji, akajua kule aendako ndiko na kumbe siko. Mapenzi hayana kificho, UKWELI NA UHAKIKA pia DEMOKRASIA IANZIE HAPA:smile-big:
 
Kati ya ushindi wote wa chadema huu ni mtamu zaidi. Im really proud of her and respect her for her tenacity and incredible resilience. You Go girl!
Mwanakiji... i am full of tears
tears of joy for GS
against all odds, there is God

i wish i could be a writer
to write her story

Mungu ni mkubwa
 
Back
Top Bottom