ITV: Tumeshindwa kutangaza matokeo leo

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
ITV wamekiri kuwa wameshindwa kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wa igunga kutokana na kuisha kwa ,muda waliopewa kurusha matangazo. mimi wacwac wangu ni hii tume ya ucjaguzi, iweje jimbo moja liwachukuwe mda mrefu hivi kutoa matokeo? kunatatizo hapa.
nawasilisha.
 
inawezekana wameona muelekeo sio mzuri kwa ccm wakapata maelekezo kutoka kwa mkuu wa kaya wasiendelee kutangaza.
 
Yaani network ya mitandao ya cm na internet kule imekuwa congested balaa, najaribu kumtafuta jamaa yangu haiwezekani ni lisaa la tatu sasa!
 
Wanachelewesha kutangaza ili wachakachue vizuri, wanataka usiku wa manane watu wakiwa usingizini watangaze huku wakurusha mabomu ya machozi.
 
kama tunavyo kesha sisi humu janvini, ndivyo tunaomba makamanda wetu huko igunga kuwa makini na uchakachuaji wa namna yoyore.Igunga bila CÇM INAWEZEKANA
 
Kiukwel ciiamini kabsa Nec na January ni wezi Bumbul aliiba sana kura za Wenzake Kaniki na Shelukindo
 
Back
Top Bottom