ITV toeni data za kipimajoto

Makoye Matale

JF-Expert Member
May 2, 2011
6,491
2,104
Kwa miaka mingi ITV imekuwa ikileta swali la kimajoto na kutoa majibu ya wasikilizaji waliosema Ndiyo, Hapana na Sijui kwa kutumia asilimia bila kutaja idadi ya watoa majibu. Napendekeza idadi ya watoa majibu ifahamike km. Waliojibu swali ni 10 kati yao 5 wamesema Ndiyo sawa na 50%, 3 sawa na 30% wamesema Hapana na 2 sawa na 20% wamesema Sijui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom