ITV: Tibaijuka, Sitta na Magufuli wazikosha nyoyo za raia...

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Leo jioni ITV imepitia utafiti wa haraka haraka wa baraza la mawaziri na kubaini ya kuwa watajwa hao watatu ndiyo wanang'ara machoni mwa raia walio wengi................
 
hiyo wizara ya tibaijuka ilikuwa yangu. hata hivyo ananishikia tu, tusubiri tutaona..........................
 
Leo jioni ITV imepitia utafiti wa haraka haraka wa baraza la mawaziri na kubaini ya kuwa watajwa hao watatu ndiyo wanang'ara machoni mwa raia walio wengi................

Am just waiting to see Prof Tibaijuka. Regarding Magufuli People will be dissapointed bcs of their high expectation on him. I think he wont perfom at even 50% of waht he performed during Ben Mkapa era. Magufuli will not be the same again. we all know the reason.

Lakini ni kweli expectation kwa hawa ziko juu kuliko wenzao.Wengine lada waamue kuwa unpredicatble na kutufanyia suprise ambazo zitawasuprises hata wana CCM.
 
Jamani me siipendi ccm wala K'wete ila lazima nikubali kuwa NADHANI kwa hawa watatu kapatia na KAHARIBU zaidi kwa MKULO.
 
Back
Top Bottom