ITV taarifa ya habari mnaboa

ITV ipo too local!
Hats takwimu za kipima joto hawasomi.
Bora waondoe Hotuba ya Baba wa Taiga, na kusoma Habari za Kimataifa.
Sioni sababu za kutuletea habari za A. Mashariki na DRC Congo kwa kina kila siku.
 
Wahii mi ndio hta sichekigi kabisa nacheki VOA na BBC Swahili zamani na channel ten
 
Kingine Wanachoboa Ni Kwamba Kila Wakianza Taarifa Ya Habari Wanasema Sijui Kupakua App Yao!Kila Siku Unatukumbusha Tu Kupakua Kupakua App
 
Na tunaona watu wakizungukazunguka nyuma ya msomaji.
Kati ya Mengi au Joy, kuna mmoja au ameamua bora liende au yupo out of date.
Hata kuigilizia kwa waliofanikiwa wameshindwa!
 
ITV ipo too local!
Hats takwimu za kipima joto hawasomi.
Bora waondoe Hotuba ya Baba wa Taiga, na kusoma Habari za Kimataifa.
Sioni sababu za kutuletea habari za A. Mashariki na DRC Congo kwa kina kila siku.
Nashauri angalia channel mbadara itakayo kidhi mahitaji yako!.
 
Back
Top Bottom