ITV nina mashaka na ninyi... Hamna habari ya Lissu?

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,144
15,183
Wakuu kati ya vitu vilivyonisikitisha na sikutegemea ni hiki kituo ambacho nilidhani ndio pekee cha kuaminika kukosa kutuhabarisha juu ya Lissu. Hizi siku mbili tension juuu ya huyu Mheshimiwa imekua juu kutokana na kuzagaa kwamba amekamatwa na jioni hii nimepata msg ya Mwananchi kwamba kaswekwa rumande ila ajabu ITV wameshindwa kutupa habari hii. Sijui reporter wao wanatafuta habari wapi. Hivi habari ya Lissu ni ndogo kuzidi ile ya polisi kuingia harusini Shinyanga? Anyway...asanteni
 
Nadhani kuna zuio!
 
From what I know wandishi hawaruhusiwi na hawana access ya habari kwenye issue inayohusu Lissu, Mbowe, na Chadema kwa ujumla. Cjui kama media zingine zimeripoti but wandishi wamesota sana kupata taarifa za lisu na hawawezi kuripoti kitu Bila undani wake. Ishu yenyewe c unajua inagusa pentagon!!!
 
Itv hawawezi kushabikia mchochezi na mtu anaetaka kufanya vurugu
Kwa habari za maandamano,usanii na kuchokoza serikali kwa makusudi,anzisheni Tv yenu tu,saa 24 mnaangalia maandamano na mbinu za kufanya vurugu
 
startv wameelezea hadi taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa singida alivyoongea na waandishi wa habari hapo leo.
 
Hata wasipoitoa ila kila mwananchi anaijua. Hata idhaa ya kiswahili ya DW leo wameitoa. Kwahyo imesikika Africa Mashariki na kati.
 
From what I know wandishi hawaruhusiwi na hawana access ya habari kwenye issue inayohusu Lissu, Mbowe, na Chadema kwa ujumla. Cjui kama media zingine zimeripoti but wandishi wamesota sana kupata taarifa za lisu na hawawezi kuripoti kitu Bila undani wake. Ishu yenyewe c unajua inagusa pentagon!!!
Ina maana walishindwa hata kupata picha yake wakati anawasili "sentro" kutoka singida?
 
Wakuu kati ya vitu vilivyonisikitisha na sikutegemea ni hiki kituo ambacho nilidhani ndio pekee cha kuaminika kukosa kutuhabarisha juu ya Lissu. Hizi siku mbili tension juuu ya huyu Mheshimiwa imekua juu kutokana na kuzagaa kwamba amekamatwa na jioni hii nimepata msg ya Mwananchi kwamba kaswekwa rumande ila ajabu ITV wameshindwa kutupa habari hii. Sijui reporter wao wanatafuta habari wapi. Hivi habari ya Lissu ni ndogo kuzidi ile ya polisi kuingia harusini Shinyanga? Anyway...asanteni
Halafu maskini kumbe wala sio harusi
 
Kwani Lazima habari ya Lissu itangazwe? Mbona kuna habari muhimu kwa jamii ambazo zinapaswa kutangazwa?

Hivi kwanini mnapenda deko?
 
Ila wana Ukawa mnasikitisha sana,,,

hivi mtaacha lini kulalamika?
 
Back
Top Bottom