ITV ni CHADEMA damu!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,931
1,289
Yaani, clip ya Slaa imeonyeshwa kwa zaidi ya dakika 7, na picha zime editiwa na mtangazaji devota Minja,zikionyesha watu wanashangilia lakini si kwa hotuba ile!
 
Hivi unazijua dakika 7?, acha kupotosha watu kana kwamba TV unaangalia mwenyewe.
 
Kumbe mnakubali CDM ilishinda 2010 sio?
Tulizani ni CDM wenyewe ndo walidhani hivyo kumbe na ccm ilikubali ngoma ya CDM 2010

angalia hapa ya Mwanza leo ITV walionyesha pia?

Sorry kwa mshtuko?? Taratibu ndo mwendo

attachment.php



Zile ni picha za uchaguzi mkuu 2010
 
Heheee! nimeona ile nyomi ya DR Slaa Uyui!!
magamba mmeumia ee? Yule mzee ndie atakae izika CCM.....!
 
Yaani, clip ya Slaa imeonyeshwa kwa zaidi ya dakika 7, na picha zime editiwa na mtangazaji devota Minja,zikionyesha watu wanashangilia lakini si kwa hotuba ile!

Umevurugwaaa kila idara dada yangu....

Hembu malizia hizo bia za kuhongwa usitufie hapa...
 
yaani, clip ya slaa imeonyeshwa kwa zaidi ya dakika 7, na picha zime editiwa na mtangazaji devota minja,zikionyesha watu wanashangilia lakini si kwa hotuba ile!

na tbc ccccm je ;;;; acha uwongo wamebebwa kwenye malori au wamekodiwa ''''' acheni wananch wajimwage
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom