Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Yaani, clip ya Slaa imeonyeshwa kwa zaidi ya dakika 7, na picha zime editiwa na mtangazaji devota Minja,zikionyesha watu wanashangilia lakini si kwa hotuba ile!
Hivi unazijua dakika 7?, acha kupotosha watu kana kwamba TV unaangalia mwenyewe.
Zile ni picha za uchaguzi mkuu 2010
Zile ni picha za uchaguzi mkuu 2010
nipo kinana ya kumi na mbili, eleza vizur kunani itv.
Yaani, clip ya Slaa imeonyeshwa kwa zaidi ya dakika 7, na picha zime editiwa na mtangazaji devota Minja,zikionyesha watu wanashangilia lakini si kwa hotuba ile!
yaani, clip ya slaa imeonyeshwa kwa zaidi ya dakika 7, na picha zime editiwa na mtangazaji devota minja,zikionyesha watu wanashangilia lakini si kwa hotuba ile!
slaa atahalalisha gongo akipewa madaraka
Yaani, clip ya Slaa imeonyeshwa kwa zaidi ya dakika 7, na picha zime editiwa na mtangazaji devota Minja,zikionyesha watu wanashangilia lakini si kwa hotuba ile!
Labda nao wanataka kuanza biashara ya gongo...