Itv na ziara ya katibu mkuu wa cdm

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Nnlipo umeme umekatika nikawa nimeenda sehemu wanapotumia nishati mbadala,
palikuwa na makumi ya watu wakifuatilia taarifa ya habari,
baada ya hbr za kitaifa bila ziara ya katibu mkuu cdm kuoneshwa karibia wote tuliondoka huku tukilaan kitendo cha taarifa hiyo mhimu kwa taifa kutooneshwa,
baadala ake zinaoneshwa za kujisifia tu, mtoto wa mengi kuoneshwa akiimsifia babaake,
+ wafujaji wa pesa za wavuja jasho wa tz wakijisifia hadharani namna wanavyofuja pesa zetu, baada ya kuvimbewa.
Imetuuma sana.
Mola ibariki CDM ,ibariki Tanzania
 
The same to me!Sijawaelewa kabisa ITV!Kama kuna mtu anahusika na ITV atupashe kwa nn hawajaonesha ziara ya Dr Slaa???Wanabaki kutuonesha akina Kinana ambao wanajisifia kuwa wamekula sana pesa za Watanzania ila sasa wataacha!!Hatudanganyiki kijinga hivi!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Watatoa katika gazeti la Tanzania Halisi kesho

Body without head
 
Baada ya kuona Dr.Slaa amelakiwa kama diwani Kigoma wameomba mwandishi aliyeko kwenye msafara wa Slaa asiripoti kitu. Ndio mana hata picha za mikutano hazitufikii humu jamvini!
 
Baada ya kuona Dr.Slaa amelakiwa kama diwani Kigoma wameomba mwandishi aliyeko kwenye msafara wa Slaa asiripoti kitu. Ndio mana hata picha za mikutano hazitufikii humu jamvini!


Picha itafuata Mkuu ni kwamba Tumaini Makene & Molemo wanajaribu kubandika lakini network ni soo! Watajaribu baadae kama itakubali.
 
Last edited by a moderator:
kama Habari za CCM na katibu wao wa pembe za ndovu zilioneshwa kwanini wasi balance habari kwa kuonesha za Katibu wa Chadema? au kuna Nini?
 
mimi niko kasulu, dr slaa yuko kakonko kwa nguvu.propaganda za ccm hazina macho tena. Nitawapa update akija kasulu.yuko hapa jmosi na jpili. Mamuluki wote tayari tunawajua na watshugulikiwa kwa taratibu za chama.
 
kama Habari za CCM na katibu wao wa pembe za ndovu zilioneshwa kwanini wasi balance habari kwa kuonesha za Katibu wa Chadema? au kuna Nini?

Baba Josephine Mushumbusi kazomewa sana, mabango ya kumtaka Zito kibaao! Ngoja wazi edit kwanza ili kukinusuru chama kamanda!
 
Back
Top Bottom