ITV na Radio One yawatema watangazaji watatu akiwemo Ufoo Saro

Aisee hao watangazaji Neema kidole na Njoole ni wazuri sana hakika hawawezi kukosa pakufanyia kazi.....
 
Wakokutema njoo kwangu mama ufoo, uwe unanisomea taarifa mwenyewe , maana sauti yako unaposoma habari hasa za mahakamani ndio ilikuwa sababu yangu ya kuangalia ITV sasa sijui itakuwaje kama hii habari mbaya itakuwa ya kweli
 
Zipo tetesi kuwa kituo cha ITV na Radio one kimesitisha mikataba ya watangazaji wake watatu kwa sababu ambazo bado hazijafahamika.

Waliotemwa wengine ni pamoja na waliokuwa watangazaji wa radio one,Neema Kindole na Julius Njole maarufu katika kipindi cha kumepambazuka cha asubuhii (wazee Wa kuhoji maswali mazito kwa viongozi)

Kitu nilichojifunza katika kituo hicho ni kutonyenyekea umaarufu Wa mtangazaji yeyote .
wasimtoe Neema Kindole maana nampenda kweli huyu binti wa moro
 
Wakokutema njoo kwangu mama ufoo, uwe unanisomea taarifa mwenyewe , maana sauti yako unaposoma habari hasa za mahakamani ndio ilikuwa sababu yangu ya kuangalia ITV sasa sijui itakuwaje kama hii habari mbaya itakuwa ya kweli
Dah!!!!
 
Leo nimekumbuka sakata la huyu mmachame mtangazaji wa ITV. Yuko wapi? alikuwa na roho ngumu sanayule sista.
 
ITV walikosea sana kuendelea na Na Ufoo wakati amefanya tukio la Mauaji ya Mme wake na Mamake kama sio kusababisha tangu hapo hua nikumuona nabadili Chaneli. Au ndio ukanda uleee
 
Back
Top Bottom