ITV na Radio One Yawaaga rasmi wafanyakazi wake Leo

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
SHEREHE:Uongozi wa itv na Redio One na wafanyakazi wake leo wamewaaga waliokuwa wafanyakazi waITV/RadioOne ambao hivi sasa wameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli kushika nyadhifa mbalimbali serikalini.
Waagwa hao ni Mkuu wa wilaya ya Handeni Bw. Godwin Gondwe, Kaimu mwandishi mwandamizi wa Rais Ikulu Bw. Emanuel Buhohela na mwandishi na Mpiga picha wa Ikulu bwana John Chacha.
 
1472318148909.jpg
 
Mkuu naomba kujuzwa hivi huyo buhohela ana undungu na vengu!??yule wa orjno comedy anaeumwa saa hivi!
Sijui chochote kuhusu hilo...ila ulivyogusia nimefikiria mara mbili mbili, wajamaa wanafanana kistyle hasa sura na sauti.
 
Back
Top Bottom