radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,427
- 32,196
kipindi hiki kimenivutia sana hapa ndipo nimepata kujua kwamba Nchi yetu ipo ktk historia ya kuwa ya kwanza kupigana na nchi nyingine kivita barani afrika.
pia ningependa kujua kama kiongozi wa majeshi wa kipindi hicho ndugu David msuguri yupo na ni kabila gani? Tanzania iliikalia kijeshi Uganda miezi saba ktk harakati za kumng'oa idd amin hii ina maana ya kwamba tuliweza kuitawala Uganda kwa muda huo, swali hivi mwalimu Nyerere angekuwa na tamaa angeweza kuiteka Uganda wataalamu hivi hilo swala lingeshindikana?
Pia kuna rais aliapishwa baada ya kufanikiwa kumtoa idd amin je na yeye alitolewa na nani? mana sijawah kumsikia katika mlolongo wa uongozi wa Uganda.
Tuwaenzi mashujaa wetu na kulipa heshima jeshi letu kwa kutekeleza maagizo ipasavyo hii histori itv nawaunga mkono imekaa vizuri.