ITV mnachotufanyia kwenye Isidingo is not fair at all. Msitufanye tuanze kumkumbuka Mzee Reginald Mengi this soon!

Kumbe bado ipo
Mie nilichoka nikaachana nayo miaka mi3 sasa.
 
ISIDINGO haina tija kwa nchi.Ni vema wangetumia muda huo kuonyesha mambo ya kizalendo kama ziara za kutekeleza ilani za wakuu wa mikoa
 
Back
Top Bottom