the locksman JF-Expert Member May 5, 2012 1,101 350 Oct 29, 2017 #41 Kwa wale ambao hawajawahi kuangalia Azam News wataendelea kubisha kwamba ITV wapo juu. Azam Two wamejipanga sana. ITV kwasasa wamekwana.
Kwa wale ambao hawajawahi kuangalia Azam News wataendelea kubisha kwamba ITV wapo juu. Azam Two wamejipanga sana. ITV kwasasa wamekwana.