ITV, miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika Rais ni Samia Suluhu Hassan, Magufuli hayupo na hatarudi

Hicho ni kituo binafsi huwezi wapangia nn cha kuonesha nn wasioneshe ht wakiamua kuonesha mchiriku siku nzima hakuna sheria inawakataza...komaeni na Tibisii yenu waweke mnayotaka yaonekane maana hao ndo mna umiliki nao.
 
ITV kibwagizo chenu cha Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika mmekua mkituonesha Magufuli kuwa ndiye Rais! Niwakumbushe Rais ni Samia Suluhu Hassan hivyo wekeni sehemu ya hotuba zake na si za Magufuli.
Acha upumbavu,fuatilia kwa makini ,vibwagizo vya Marais wote kuanzia Mwalimu Nyerere mpaka Samia vinawekwa ,unaghubu sana wewe mtoto wa kike dhidi ya hayati Magufuli,
Ndio tatizo la nyie watu mliojaa kamasi za kondoo badala ya ubongo
 
Hicho ni kituo binafsi huwezi wapangia nn cha kuonesha nn wasioneshe ht wakiamua kuonesha mchiriku siku nzima hakuna sheria inawakataza...komaeni na Tibisii yenu waweke mnayotaka yaonekane maana hao ndo mna umiliki nao.
Hao Tiibiisii wenyewe wameamua kupika live studioni.
Niubunifu unaotia mashaka
 
Hicho ni kituo binafsi huwezi wapangia nn cha kuonesha nn wasioneshe ht wakiamua kuonesha mchiriku siku nzima hakuna sheria inawakataza...komaeni na Tibisii yenu waweke mnayotaka yaonekane maana hao ndo mna umiliki nao.
Nchi ina Rais mmoja kwa wakati mmoja na ndiye tunatakiwa kumsikiliza.
 
ITV ni "local" sana....Ndio maana watu wamekuja na plan B!
2986270_Samia.png
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom