ITV: Mh. Mengi adai Manji amerudisha fedha za kifisadi

Huyo mengi ni mkwepa kodi mkubwa, na mtu anayewalipa wafanyakazi wake wazawa mshahara mdogo. Anaamini wahindi pekee. Nyambaaaafu
Habri ya makalio kweli kweli yaani CCM wanavyomtafuta wameshindwa mtia hatiani?Au ndio ulegulege wao?Au ndio upuuzi kichwanihadi hawana hata uwezo wa kubaini huo wizi?Si ukawape ushahidi wakupe ukuu wa wilaya.Wenzio wameishia tafuta hadi kumbambikiza mwane unga.Bado wakashindwa.Habari imepitwa na wakati sana.
 
Ivi jamani ile bajeti ya Mkutano Mkuu na mchakato wa kumpata mgombea wetu uligharimu kiasi gani..ni kweli kilitoka kwenye vyanzo vyetu kabisaa. Maana najaua vitega vyetu vya uchumi si sawa kwa sasa..nauliza tu..
 
Mengi ulishindwa kusaidia shule ya kijiji chako nkuu ukatuacha,ukaenda leo unongea nini bwana jirani,ww unawatu wako na manji tunampa udiwani wamachame so atakua kiongozi wako mwaka huu uljue ilo...
 
Habri ya makalio kweli kweli yaani CCM wanavyomtafuta wameshindwa mtia hatiani?Au ndio ulegulege wao?Au ndio upuuzi kichwanihadi hawana hata uwezo wa kubaini huo wizi?Si ukawape ushahidi wakupe ukuu wa wilaya.Wenzio wameishia tafuta hadi kumbambikiza mwane unga.Bado wakashindwa.Habari imepitwa na wakati sana.

✔✔✔✔✔������
 
Yeye ni msafi? Tunajua yote anayofanya bonite aache fitna

wacha siasa za Maji taka kama unayajua taja yeye (mengi) kataja huo ni uzalendo na ujasiri mkubwa inafaa apongezwe na sio kubezwa
 
Hivi umeelewa nilichokiandika?
Nina mashaka Kama wewe mwenyewe unaelewa ulichokiandika!

Umeandika hivi "Yeye ni msafi? Tunajua yote anayofanya bonite aache fitna"

Sisi atujui kinachoendelea Bonite, Kama wewe unajua kinachoendelea Bonite na unaficha ni kwamba unalea ufisadi!!
 
Huu ni moja ya ufisadi mwingi uliofanywa chini ya serikali ya Mkapa pamoja na kibaraka wake Baba Ritz, hakika kuna siku UMMA wa watanzania watachoka uhuni huu watafanya maamuzi ambayo hakuna anayetarajia.
Muda wa kuchoka ndio huu kwani mpaka ifike hiyo siku tayari tutakuwa tumekombwa kila kitu na kitakachotokea ni kushangaaaaaaa alafu inatoka kauli "it is too late acha tu ipite"
 
wacha siasa za Maji taka kama unayajua taja yeye (mengi) kataja huo ni uzalendo na ujasiri mkubwa inafaa apongezwe na sio kubezwa

Sasa tupo pamoja yeye anaficha idadi ya bidhaa anazozitengeneza,magari ya usambazaji pamoja na idadi ya bidhaa anazoziuza. Ana wahasibu wawili wa kutengeneza invoice za mauzo mmoja kwa ajili ya takwimu zake na mwingine kwa ajili ya takwimu zinazopelekwa TRA. Hii sio hadithi takwimu zipo! Sasa utaamua kuuita huo ndo ujasiri ni maamuzi yako.
 
Baadaye utasikia mfanya biashara maarufu kaichangia CCM 500 milioni tena huo mchango hupokelewa na mwenyekiti kwa mbwembwe nyingi na huku Kapteni nonino akiimba kwaya CCM nambari wani,kumbe hiyo hela ni yetu wenyewe lakini kwa umbumbu wetu tumeruhusu wajanja wanemeeke,hakika hivi viserikali corrupt vya Afrika vimekuwa mzigo kwa raia wake wenyewe .Pia najiuliza kila kwenye wizi wa mabilioni wahusika wakuu ni hawa gabachori na maburushi
mfianchi
 
Last edited by a moderator:
Bwana Mengi anadai Manji alikomba Bil.40 za EPA na kukaa nazo miaka miwili, kuzifanyia biashara zake na kupata faida ya Bil.10 na sasa amezirudisha kama alivozichukua. Bila riba bila lolote.

Kwa mujibu wa Bwana Mengi Manji alitakiwa kulipa riba ya Bil.16.

Kama ni kweli Manji ni noma. Na hajakamatwa wala nini.
afadhali walau kurudi zimerudi, swali la kujiuliza, zikirudi zinafikia kwenye mikono ya nani, mikono ya hazina hivyo zinaingizwa kwenye kuchangia bajeti zetu au kwasababu ni unexpected money zitaishia mikononi mwa ccm, au mikononi mwa viongozi wa serikali wakajenge mahoteli na mahekalu yao huko? si tushukuru walau amerudisha hata hiyo net debt, hiyo interest ndio tumekula hasara.
 
Back
Top Bottom