ITV: Mh. Mengi adai Manji amerudisha fedha za kifisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV: Mh. Mengi adai Manji amerudisha fedha za kifisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Oct 18, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Bwana Mengi anadai Manji alikomba Bil.40 za EPA na kukaa nazo miaka miwili, kuzifanyia biashara zake na kupata faida ya Bil.10 na sasa amezirudisha kama alivozichukua. Bila riba bila lolote.

  Kwa mujibu wa Bwana Mengi Manji alitakiwa kulipa riba ya Bil.16.

  Kama ni kweli Manji ni noma. Na hajakamatwa wala nini.
   
 2. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ujumbe aliotaka kuufikisha Mengi ni kwamba Serikali legelege inashughulika na wezi wa kuku lakini Mijambazi mikubwa kama Manji wanawaogopa na huenda wanakula nao ndio maana wanajifanya hakamatiki.
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Hivi alitaja jina?
   
 4. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mnh siasa za bongo....tuombeane tu uzima, tutaona mengi mpk 2015
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  si mahakama imeamuru mtu yeyote asizungumzie quality finance na kagoda?imekuaje mengi azungumzie?
   
 6. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Mkuu kama nimesikia vizuri hajataja jina la mtu
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  mtoto wangu wa miaka bili kanitonya kuwa ni Manji.
   
 8. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wote wezi tu. Huyu Machache anautumia uzawa wake vibaya. Yeye adui zake kibiashara ndo anawaita mafisadi. Mbona hafungui bakuli lake kwa EL?
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Fumbo mfumbie mjinga..
   
 10. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huu ni moja ya ufisadi mwingi uliofanywa chini ya serikali ya Mkapa pamoja na kibaraka wake Baba Ritz, hakika kuna siku UMMA wa watanzania watachoka uhuni huu watafanya maamuzi ambayo hakuna anayetarajia.
   
 11. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kaaazi kweli,nchi hii Mafisadi ndio wanaotesa hasa kwa uratibu wa sheria za nchi
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mengi ameamua ku deal na fisadi mmoja anayemuweza, sasa kwa nini kumlaumu kwani yeye tu ndiye mtanzania mwenye uchungu na nchi yake.

  Wengine wajitokeze kushughulika na EL, kila mtanzania anayemfahamu fisadi yeyote ajitokeze na apambane nae ili hatimaye tuutokomeze ufisadi nchini.
   
 13. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  unajua Mengi na Manji wanabifu binafsi la kuchukuliana wandani wao.Sasa wanaoneshana ubabe.
   
 14. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Namuunga mkono Mengi kuhusu kuwafilisi mafisadi hawa, serikali iamke kwani kila kitu kinajulikana sasa si siri tena.
   
 15. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  unajua Mengi na Manji wanabifu binafsi la kuchukuliana wandani wao.Sasa wanaoneshana ubabe.
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  najiuliza sana....!

  pesa hizi angetumika mzee mengi kuzikwapua ingekuwaje.....!

  i hope yasingemkuta ya brigedia shimbo...!i just hope....anyways,twendelee
   
 17. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Akili nyengine hizi tabu tupu. We unahitaji ukombozi si bure!
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  wanajuana wale waendelee tu ili tujue mengi zaidi.
   
 19. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  naomba kuuliza!!mengi alishalipa ile tsh. moja anayodaiwa
   
 20. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  huenda hiyo faida ya bil.10 alitembeza chenji kwa washenzi wachache

  huwa nafikiria kauli ya Mengi 'mafisadi wakubwa wa nchi hii hawazidi 20'
  najisemea hii nchi ni ya mataira
   
Loading...