VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,160
Nashauri wadau serikali wafatilie maoni ya wadau. Machache:
1. Serikali iwe na takwimu na mwelekeo kuweza kupanga mipango.
2. Kushirikikisha wadau sector binafsi.
3. Ikibidi kukopa kujenga miundombinu ya uhakika.
4. Wazazi washirikishwe kuchangia walau sehemu fulani inayohimillika.
5. Uzazi wa mpango ni muhimu kujenga familia inayowajibika.
6. Ubora wa elimu (Quality)
7. Mfumo wa elimu idadi miaka
8. Elimu ya ufundi kuanza ngazi za chini baada ya darasa la tatu
9. Kufuatia sera ya elimu bure na maboresho shule za umma tutarajie mafuriko makubwa zaidi baada miaka 7,2016+7: 2022...