ITV: Malumbano ya hoja leo 29/3/2018. Mkurugenzi wa Dodoma Mr. Kunambi hustahili hicho cheo

Kaanza kwa kuharibu mjadala pale tuuu anaposifia. Hata Dr. Maziku kamsahihisha.
 
Una mhemko usio wa lazima. Unalazimisha mambo bila takwimu. Kumsifia Raisi si hoja kwa sasa. Hoja zako haziendani.
Kunambi na akina Happi, Asenga na Katambi ni product za Malumbano ya hoja ndomana anajiona kama naye ni mwendesha kipindi!
 
Imepooza malumbano ya hoja wapo watu tulio wazoea rais wa bao wakina msafiri na polisi aliyestaafu mbunge aliyekosa ubunge wapo wengi naomba wairudishe dar
 
tangu kipindi kinaanza mpaka kinaisha hakuna aliyeongea point za kueleweka, hata hao maprofesa waliokuwepo chenga tupu, sijui hawakuelewa mada!!
Mada inahusu fursa mtu anasimama na elimu yake anasema ameandika kitabu kuhusu fusra, badala ya kusema waziwazi watu wanaotazama kipindi wanufaike.
Mtu anazunguka zunguka badala ka ku-hit kwenye point moja kwa moja
 
Back
Top Bottom