Itv live: migogoro ndani ya vyama vya siasa, je ni kukua kwa Demokrasia?

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Kipindi kinarushwa hivi sasa ndani ya itv, mjumbe wa kamati kuu chadema michael aweda anatokwa povu, anashindwa kujieleza inabidi mtangazaji amuongoze kila dakika, anashindwa kufafanua na kuelezea yanayojiri ndani yachadema.

tufuatilie
 
Back
Top Bottom