ITV, Leteni maswali ya kipimajoto JF

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,636
2,725
Napenda kutoa rai kwa ITV wafungue akaunti yao JF na kuanza kupost maswali yao ya kipima joto humu.
Wakifanya hivyo, am sure watapata majibu mazuri humu kuliko hata kule facebook na Twiter...
 
Back
Top Bottom