Uchaguzi 2020 ITV leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu?

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
2,186
2,455
Wanabodi habari ya majukumu?

Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano?

ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
 
Kituo cha ITV nini kimetokea leo ni siku ya tatu mfululizo kwenye taarifa yenu ya habari ya saa 2 usiku hamtangazi habari kuhusu mikutano ya kampeni ya mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo mhe. Tundu Antiphas Lissu.

Mara ya mwisho kurusha habari za kampeni za mgombea huyu ilikuwa ni mikutano yake aliyofanya mkoani Tanga kabla hajakwenda kisiwani Pemba.

Ila ITV mmekuwa mkiendelea kurusha habari za mikutano ya kampeni ya wagombea wengine wote isipokuwa mgombea huyu kupitia chadema. Nini kimetokea ITV?

Naomba kuwasilisha.
 
kituo cha ITV nini kimetokea leo ni siku ya tatu mfululizo kwenye taarifa yenu ya habari ya saa 2 usiku hamtangazi habari kuhusu mikutano ya kampeni ya mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo mhe. Tundu Antiphas Lissu...
Taafadhali ITV ni ninyi mlikuwa mmebaki angalau kutupatia taarifa za Lissu kwenye taarifa za habari.Nini kimewakumba?.
 
Huwezi kuweka taarifa za msaliti.

Tukiwambaia Amsterdam anamharibia Lisu mnakataa
 
Kituo cha ITV nini kimetokea leo ni siku ya tatu mfululizo kwenye taarifa yenu ya habari ya saa 2 usiku hamtangazi habari kuhusu mikutano ya kampeni ya mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo mhe.

Tundu Antiphas Lissu. mara ya mwisho kurusha habari za kampeni za mgombea huyu ilikuwa ni mikutano yake aliyofanya mkoani Tanga kabla hajakwenda kisiwani Pemba.

Ila ITV mmekuwa mkiendelea kurusha habari za mikutano ya kampeni ya wagombea wengine wote isipokuwa mgombea huyu kupitia chadema. Nini kimetokea ITV?

Naomba kuwasilisha
Mkuu hapa Kati walijitutumua kidogo ...Ila tangu Mwamba Sheikh Ponda aingie uwanjani ITV wame mute!
Mtumikie Kafiri update mradi wako?!
 
Hadi sasa Magufuli anaongoza kwa 85% ✓, .. endelea kupiga kura yako kabla ya tarehe 28 kupitia Piga Kura: Nani atashinda Urais Uchaguzi Mkuu 2020? View attachment 1610994
Screenshot_20201024-183545.jpg
 
ITV...kwa mikoa ya kanda ya ziwa wanakubalika Sana..na taarifa yao ya Habari inaangaliwa Sana..Ni Bora kituo kikawatendea haki watazamaji wake wote..wasioneshe kuegemea upande wowote..wasimame katikati..na watoe taarifa zao kwa weledi mkubwa kwani zinawafikia watu wengi sana..
Kikubwa watunze maadili yao ya kazi na wawe chachu ya kujenga umoja na amani ya nchi yetu bila ubaguzi..
 
Wanabodi habari ya majukumu?

Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV, naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano?

ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
Kwani bado huwa unaangalia


Sent from my Redmi Note 4 using JamiiForums mobile app
 
Kundi la CCM linaloisaidia Chadema ni kundi kubwa kwelikweli mpaka Magufuli ang'oke kwa udi na uvumba
 
Back
Top Bottom