YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,994
Nimeangalia Taarifa ya habari ya ITV jana usiku nikashtuka kuona kuwa ziara ya raisi Magufuli Rwanda imewekwa mwisho kwenye taarifa za habari za kitaifa nilitarajia iwe mbele.
Kuweka mbele hiyo habari kulikuwa muhimu si kwa Tanzania tu bali pia kwa watanzamaji wa Rwanda ambako ITV inaonekana.Kuliweka hilo tukio mwisho ni kudharau watanzania na wanyarwanda ambao tukio hilo la kumbukumbu ya kimbari ni kitu kikubwa mno.
Obama alipokuja Tanzania ITV taarifa za habari zao ziliiweka hiyo taarifa ya kwanza mbele.
ITV hawana uzalendo na wamejaa ukoloni mamboleo