ITV - Kipima joto: Watanzania kuwa watu wa kulalamika kila jambo je nini kifanyike?

Dr. Kitila kesama " No gain without pain!". " No sweet without sweat",
Watanzania tuendelee kulalamika kwa kujenga hoja.
Tuwaunge mkono watu wanaopigania maslahi yao.
Mafanikio yanapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii. Hakuna njia ya mkato. Hata posho za wabunge ni njia ya mkato ya ujanja ujanja!.
Kipindi kimemalizika
Asanteni na kwaherini!.
mashairi ya Shabani Robert hayo
 
hee kwa hiyo kimtazamo wako kuna uwezekano tz kukawa hakuna wasomi enheee?

Wasomi wapo ila wanakimbilia katika siasa kwenye ulaji bila jasho! Hebu fikiria PhD holder wa nuclear science anakula kiulaini kwa kuzunguka mikoani akikagua na kuzindua miradi uchwara.
 
wamshukuru mwalimu Nyerere alijenga umoja na nidhamu kwa wa tz ambayo sasa inaondoka baada ya kugundua kuwa walioko juu ndio wezi wetu.
 
Wakuu nisaidieni kuelewa leo hawakukataumeme maana Kitila yeye kisu ni kisu na si embe dodo na CCM hawapendi kisu kiwekisu wao huita mkuki .
 
Back
Top Bottom