Apta Kayla
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 324
- 71
inamaana TBC wenyewe walikuwa na miamvuri. Manake wamejitapa kuwa walikuwepo pamoja na kunyesha mvua kubwa.
TBC wametumia picha ya jana wakati waombelezaji na marehemu wakifika Ifakara, na sauti ya reporter kupitia simu. Hyo inadhihirisha ugumu uliokuwepo kufikisha picha kwenye vituo vya kurushia matangazo.