ITV hata Hii (JIJI LETU) badili hii jina kwa kipindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV hata Hii (JIJI LETU) badili hii jina kwa kipindi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PgSoft2008, Oct 20, 2008.

 1. PgSoft2008

  PgSoft2008 JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2008
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  sidhani kama kuna mantiki yeyeto kwa ITV kuendelea kutumia jina hili kwa sasa kwa ajili ya habari za dar es Salaam pale jioni. Tuna jiji zaidi ya moja sasa hivi kama sikosei kuna Arusha, Mwanza, Mbeya, Tanga N.K.

  Ni bora muongeze Dar es Salaam pale mbele ili kuleta maana. huku ndio kwenda na mabadiliko.
   
Loading...