VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,160
Watanzania wenzangu tunasomo zuri kujifunza toka Kampala
Naibu Jaji mkuu na Jaji mkuu wameomba Serikali kutowaingilia katika Majukumu yao kusimamia sheria na HAKI.
Hii Inatokea pakiwa na shauri la kupinga sheria ya kikatiba kuongeza muda wa kipindi cha uraisi Uganda toka miaka 5 hadi 7.
Rwanda tayari kipindi urais ni miaka 7. Tunakopi mengi toka Rwanda baadhi mazuri mfano single account ,akaunti moja ya serikali kuu.
Nashauri Majaji wetu waige ujasiri wa wenzao Uganda. Kusimamia na kutekeleza haki.
Cudos: ITV habari SAA 2 usiku