ITV Breaking News-Wakulima Wa korosho wafunga Barabara

nilikuwepo kipindi cha uchaguzi maeneo hayo jamaa wanahasira ile mbaya na hawamtambui mbunge wa ccm wao wanadai alishinda wa cuf, zilienda hadi 110 za PT

cuf ndio walewale, mpaka watie akili, wajue masuala ya dini yanawaumiza. awali waliogopa kujiunga na mashule wakiogopa kitimoto a.k.a nguruwe, wenzao wamepiga kitabu, walipokuja kushtuka kuvamia shule, wamepelekewa za kata!! labda lipumba akawachotee kwenye uprofessor, si alikuwa un juzi kati!
 
Imekula kwao watu wa kusini bado wajinga waache waliwe tu
Wewe ndiyo imekula kwako! Wenzako watapaa hivi sasa. Umeme wa uhakika upo, mafuta ndiyo yamegunduliwa, viwanda vya simenti na mbolea vinajengwa huko! Kama hiyo haitoshi, mnataka kuwadhulumu gesi yao kwa kuweka bomba hadi Dsm!
 
Issue ya korosho ni very complicated,muulizeni Kimei,benki yake ya crdb mwaka huu ime declare kushuka kwa faida kwa asilimia ishirini kisa korosho,nmb bank nao mikono iko kichwani wote waliingia kichwa kichwa kwenye zao la korosho.
 
ktk kumbukumbu zangu pinda alisema pesa zimesha fika mtwara ktk majibu ya papo kwa hapo.kumbe pinda mtoto wa mkulima hajutii tabu za wakulima wenzake
 
Back
Top Bottom