ITV acheni kupamba hotuba za viongozi

Lete clip
Ktk Zama hizi za uongo na uzushi ni ujinga kututaka tukuamini bila vielelezo.
Kwenye zama hizi ni mjinga tu atakuwa na simu janja na asijue jinsi ya kuona vipindi vya televisheni kwenye simu yake. Unaomba clip wakati televisheni unatembea nayo! Aibu waliochangia hoja hii waliiona hiyo habari kwenye TV zao isipokuwa wewe!
 
Back
Top Bottom