ITV acheni Kuichakachua CUF!!!!

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
Hivi ni kwanini ITV inapoonyesha mkutano wa CUF Kamera zao huwa hawaonyeshi kwa uhalisia wa tukio halisi lilivyo ni miaka 2 sasa ninapoangalia kamera ya ITV katika mkutano wa CUF huwa inapelekwa sehemu ambayo haina watu au kamera humuonyesha mgombea pekee, mfano leo katika mkutano kata ya mkinga Kamera inaonyesha watu wanaokimbilia kuja mkutanoni, hii inafanyika kwa faida ya nani? na ili iweje? baadaye iwe nini? Jirekebisheni ITV vinginevyo wanainchi wataisusa.
 
Cuf ilikuwa na watu wachache sana leo.Mlitaka waonyeshe nini kama watu hamna?
 
hivi ni kwanini itv inapoonyesha mkutano wa cuf kamera zao huwa hawaonyeshi kwa uhalisia wa tukio halisi lilivyo ni miaka 2 sasa ninapoangalia kamera ya itv katika mkutano wa cuf huwa inapelekwa sehemu ambayo haina watu au kamera humuonyesha mgombea pekee, mfano leo katika mkutano kata ya mkinga kamera inaonyesha watu wanaokimbilia kuja mkutanoni, hii inafanyika kwa faida ya nani? Na ili iweje? Baadaye iwe nini? Jirekebisheni itv vinginevyo wanainchi wataisusa.

toa masaburi hapa, kuna thread zingine hazina miguu wala kichwa, watu gani ulitaka waonyeshwe? Maimamu? Labda uisusie wewe, hakuna mtu wa kuisusia kisha haijaonyesha ccm b, kwani ccm b ndo nani nchi hii?
 
nilikuwa nataka waonyeshwe wazee wa vigango na vibibi vya vigango,
 
hao ndio watu waliohudhuria kwenye mkutano wa cuf,ulitaka waonyeshe nini?
cuf wanaleta watu wa zanzibar kupiga kampeni igunga,bila kujua kuwa hao watu wao wapo maarufu zenji,si huku tanganyika,then unataka uone umati.
 
Hivi ni kwanini ITV inapoonyesha mkutano wa CUF Kamera zao huwa hawaonyeshi kwa uhalisia wa tukio halisi lilivyo ni miaka 2 sasa ninapoangalia kamera ya ITV katika mkutano wa CUF huwa inapelekwa sehemu ambayo haina watu au kamera humuonyesha mgombea pekee, mfano leo katika mkutano kata ya mkinga Kamera inaonyesha watu wanaokimbilia kuja mkutanoni, hii inafanyika kwa faida ya nani? na ili iweje? baadaye iwe nini? Jirekebisheni ITV vinginevyo wanainchi wataisusa.

ITV mmiliki wake ni mchaga na mkatoliki... CDM ni chama cha wachaga na wakatoliki...unataka waipe air time na coverage chama cha waswahili ili iweje.
 
Mawazo ya mtu anaye liwa masaburi si kawaida mtu mzima akaja na wazo la kijinga hivi,haya ndiyo mawazo ya KAFU na CCM yao akina nani yuke mzee wa Bunda Wasira then unalia na coverage namna hii kweli ? Mpuuzi sana wewe na KAFU yako
 
Kwa mawazo yangu CCM na CUF WAMEUNGANA. ITV INAIPA AIR TIME YA KUTOSHA CCM hivyo CUF hawahitaji kulalamika.
 
Tunajua, itv wanampango wao maalum, na chama hicho lakini kama hawataki kuonyesha uhalisia wa mikutano ya chama hicho waache kabisa, cuf ipo na itaendelea kuwepo, hata mm nilikuwa najiuliza ukiangalia tv nyingine ni tofauti na itv, haya endeleni na wachaga wezenu tutafika hapo mnapo pataka. Itv ni media ya kibaguzi. Kisisa, kikanda, na kidini. Kwa mtindo huu kweli tutafika,
 
Ndiyo tutafika.
 
Hivi ni kwanini ITV inapoonyesha mkutano wa CUF Kamera zao huwa hawaonyeshi kwa uhalisia wa tukio halisi lilivyo ni miaka 2 sasa ninapoangalia kamera ya ITV katika mkutano wa CUF huwa inapelekwa sehemu ambayo haina watu au kamera humuonyesha mgombea pekee, mfano leo katika mkutano kata ya mkinga Kamera inaonyesha watu wanaokimbilia kuja mkutanoni, hii inafanyika kwa faida ya nani? na ili iweje? baadaye iwe nini? Jirekebisheni ITV vinginevyo wanainchi wataisusa.

Hapa suruhisho nikuanzisha CUF TV
 
Mlitataka waonyeshe kisichokuwepo?
 
Ccm b bwana kwa kulalamika sasa mume wenu ccm sianaonyeshwa sasa mwalalama nn? Mbona mimi muislam lakini cdm pyuaaa wakombozi wa ukweli tena tupo wengi kina zitto,halima mdee,prof safari na hao wakatoliki? Toka hapa na udini wako cuf ndio inakwenda mwisho hakuna hata democracy chama gani toka kimeanza mwenyekiti lipumba katibu maalim seif ?
 
Back
Top Bottom