Itundikwe hotuba ya JK aliyohutubia bunge Dec 30, 2005. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Itundikwe hotuba ya JK aliyohutubia bunge Dec 30, 2005.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyambala, Dec 31, 2009.

 1. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wakuu numejaribu kuitafuta hotuba husika bila mafanikio. Nadhani ni muda muafaka kuitundika hapa jamvini ile hotuba ili tupime tulichoahidiwa na Muungwana. Nayakumbuka machache:

  1. Alisema ataumaliza kabisa mgogoro wa zenj, sijui kama umeisha?

  2. Tutaanzisha kujenga nyumba kutumia real estates, sijui ngapi zimeanzishwa?

  3. Tutapambana na rushwa kubwa kubwa kwa vitendo na si lazima ushahidi uwepo asilimia 100, hata ukihisiwa umekula rushwa tutahakikisha tunachunguza na kushughulikia, sijui utekelezaji wake?

  4. Tutaleta maisha bora kwa kila mtanzania and so on and so on!!!!
   
 2. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
 3. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160

  kwa wale msiokuwa na pdf format.
   

  Attached Files:

 4. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Tusubiri 2010
   
 5. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  2010, wamejiandaa na vibahasha nyumba kwa nyumba-----hiyo maneno ya politics tu hakuna lolote.
   
Loading...