Its Salha for Miss World......

Mvua Ya Kiangaz

JF-Expert Member
May 24, 2011
308
144
Jamani Salha ndoMiss vodacom-2011,tumuunge mkono kwenye juhudi zke za kushinda miss world-2011 na tumuombee kushinda na kuepuka scandallllllllllll.... Salha-miss voda.jpg
 
I disapprove the winner,once again Mshindi kaachwa namaanisha washiriki na 2,6&8 walistahili kuvikwa taji kuliko kumleta mshindi wa kichina...Lundenga's own mISS!
 
Sishangai......kwani kawaida yetu wabongo kupinga matokeo,anyway ndo kashnda sasa tunamsaidiaje???
 
Ktk mashindano kuna kushinda na shindwa kama kashinda bac anastahili pongezi
 
Back
Top Bottom