its not a joke

Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,663
416
Jf imekuwa ni sehemu nzuri ya kujifunza,kusaidia na zaidi kufurahisha,Pia kuwezesha kupanua fikra zetu hasa pale kunapokuwa na mjadala halafu ukahisi flani atacomment hivi,kumbe anacomment tofauti kabisa.Binafsi huwa nafurahishwa sana pale mtu anapo-comment tofauti kabisa na ambavyo ungefikiria ata-comment.Hebu nawe tupia baadhi ya comments ambazo zilikuacha hoi humu ndani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom