It's nivea birthday to day........happy birthday nivea

jamani mwenzenu shurti juzi niweweseke na kutoa roho yaani sijawahi sikia sauti tamu, nzuri na yenye mvuto kiasi kile yaani imeniacha mpaka leo bado naifikiri yaani sauti ya babu Asprin
Oh Mammma Mia!!!

UNASUBIRI NINI KUFANYA MAAMUZI SASA?, UNANGOJA NINI KUCHUKUA HATUA
ILIYONYOOKA?ACHA KUOGOPA WEKA NIA MBELE NA THUBUTU SASA ...........

"Shimo la Panya halizibwi kwa Mkate"

CC: Kaizer, Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
hiyo hapana ndugu yangu unataka my husband anipe talaka sitaki bestito acha nilinde ndoa yangu kwani huyu amenipigia si my love akapokea simu ikawa balaaa usinitumie hiyo ya KakaKiiza
ukiisikia ya KakaKiiza si ndio na ligo unapiga hapo hapo hahahahaahahahah nikupe namba yake na huyu usikilize sauti tu!
 
Acha kuweweseka mpaka unatuma mara mbili!Njoo airtel

hiyo hapana ndugu yangu unataka my husband anipe talaka sitaki bestito acha nilinde ndoa yangu kwani huyu amenipigia si my love akapokea simu ikawa balaaa usinitumie hiyo ya KakaKiiza
Achana na mitandao ya wahuni tigo wote misheni tauni!,na wanafunzi!
 
"Shimo la Panya halizibwi kwa Mkate" sijakuelewa hapa unamaanisha nini au ndo lugha ya kumkaribisha mtu nini? siji ng'ooooooooooooo @Asprin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom