July Ernest
Member
- Aug 6, 2019
- 25
- 12
Hellow am new member here.. i wish you good night.
Hellow am new member here.. i wish you good night.
Dogo karibu una umri gan?
Where's your photo?
Karibu
Kumbe ndiyo wewe huyo shukrani sanaprofile ina picha mkuu
Kumbe ndiyo wewe huyo shukrani sana
Unasoma shule gani?
Umeulizwa na admini Wa humu nini kimekuvutia hujibu utakula ban shauri yakoHellow am new member here.. i wish you good night.
Nini kimekuvuta ukajiunga na jf
Umeulizwa na admini Wa humu nini kimekuvutia hujibu utakula ban shauri yako
Nashukuru jukwaa la wakubwa halipo
nd natalajia kuanza chuo mwezi wa 9 ila form4 nimemaliza mwaka jana
me huwa ni mtu wa kuperuzi google huwa na browse mara kwa mara kukusanya taarifa za vitu flani. kila nikisearch naona wenzangu walishaulza xwali kama hlo hapa jamii forums, nkataka kuijua zaidi nkaingia fb nka like page ikaniongoza kujisajili. now najua nkipata shida wapi pa kuipeleka.