Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 803
Jamani mwenzeni leo ni birthday/siku yangu ya kuzaliwa. Nashukuru kwa kuwa nami karibu, kwa ushauri na mafunzo mengi mnipatiayo kupitia Jamvi letu hili. Nafurahi sana kwa ukaribu na ukarimu wenu kwangu na kwa member wengine wote. Tumwombe Mungu atujalie uzima, afya njema na maisha marefu, Naimani michango yetu itatujenga na kutuboresha zaid. Nawapenda sana ndugu zangu!