Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,111
Oyooooo...!
Moderators please Niko chini ya miguu yenu naomba msiunganishe huu uzi na ule mwingine.
Haya hayaa wale wenzangu na mimi wa mitaa ya Seoul (Seoul ya JF usiogope), ile siku iliyokuwa inasubiriwa na wapenzi wa Korean drama hasa mashabiki wa Songsong couple yaani Song Joong Ki a.k.a Big Boss na Song Hye Kyo a.k.a Beauty ndo leo imewadia.
Ni ndoa ya hawa mastar wawili wa tamthiliya ya Kikorea inayokwenda kwa jina la DESCENDANTS OF THE SUN ambayo kwangu mimi ni kati ya drama bora kabisa nilizowahi kutazama tangu nilipoanza kuwa mlevi wa hizi kitu.
Daah ilianza kama utani utani kutoka kwa mashabiki mara paap tukashangaa wametangaza ndoa.
Kama umebahatika kutazama hii drama hebu tupia kituko au scene iliyokufurahisha ama kukuvunja mbavu.
Naanza mimi...
1. Ilinivutia lile tukio ambapo Dr Kang alinasa kwenye mwamba gari inaning'inia kwenye maji then Captain kaja kaiporomoshea gari kwenye maji... oppa was so cool .
2. Ile scene waliyopokea parcels toka Korea wakati wao wako kule field...jinsi walivyoikimbilia kila mtu anataka akaiwahi yeye na jinsi walivyokuwa wanagongana cousin ni aliyeko right au left
3. Tukio lililonitoa machozi ni pale wale mabinti wawili walipopokea taarifa za 'vifo' vya wapenzi wao then baadae wakarudi aisee..
Kifupi ni drama ambayo huchoki kutazama...OST sasa...! Kawaida mimi hata nikiupenda wimbo kiasi gani, nikimaliza kuangalia drama na wimbo unasahaulika hapohapo ila sio ule ulitumika hum unaitwa ' How can I love You' ...hapana huu wimbo ni mzuri jamani nitautupia hapo chini.
Bwana arusi
Bibi arusi
aminas mamaa wa picha tupia za ukumbini
Damushin sunbae siamini umeenda mwenyewe arusini mimi umeniacha.
Wapenzi wa Korean drama EMPTY scalethat Mrs Van Prishaz mbelwaz UHURU JR karibuni tuwapongeze hawa vijana na tuwatakie maisha mema