it's a baby gal, thanks for the thoughts n prayers

Jamani shishi am so happy for you my darling jamani Mwenyezi MUNGU akukuzie mpenzi.

Ila mh mnanitamanisha ninyi..............

haaa umeona eehhh...unaweza kujish2kia umeiachie iingie na nyonga zenyewe za uzeeni hizi mwehhh....hongera sana Shishi...Mungu awalinde.
 
Hongera sana Mpendwa Shiroo, Mungu mwenye heri zote awalinde wote na mtoto akue kwa kimo na hekima kwa kadri ya utashi wa roho mtakatifu.... Umepata zawadi nzuri sana ya Noeli, Nawatakia Sikukuu Njema
 
Hongera sana Shishi, Pole kwa maumivu...mpe na mzee pole pia.

Hivi hii december ya mwaka huu mbona watoto wengi namna hii?.....Ahaaaa, kweli April ilikuwa baridi kali.

Ile dhana ya mainfii huanza na watoto wa kike, Shishi hebu cheki na hubby wako ajiunge na chama chetu.

Hongera tena, Mungu awajalie afya njema, wewe mtoto na baba yake mtoto
 
Congrats and may yu and your baby grow up healthy!!!

Ila shishi mie nina ka bwana mdogo kakiume kana kama miaka miwili hivi.......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kastaarabu, kapole, kanpendeza, handsome hata baba ake sioni ndani, in shrot a very respectable and lovely boy till death do him part with life!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom